IQNA – Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, ametoa wito kwa mataifa ya Kiislamu kuondoa migawanyiko ya ndani na kusimama kwa umoja, akisema kuwa mshikamano wa kweli pekee ndio unaoweza kuwazuia maadui wasivunje haki za Waislamu.
Habari ID: 3481202 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/09/08
IQNA-Chanzo cha kuigwa kutoka Iran, Ayatullah Mkuu Nasser Makarem Shirazi, amesisitiza haja ya ulimwengu wa Kiislamu kurejea katika kanuni ya msingi ya umoja.
Habari ID: 3481201 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/09/08
IQNA-Hujjatul Islam Hamid Shahriari, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukaribisha Madhehebu za Kiislamu (WFPIST), alifanya mkutano na waandishi wa habari mnamo Septemba 6, 2025, mjini Tehran, kutangaza rasmi ratiba na vipengele vya Mkutano wa 39 wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu.
Habari ID: 3481196 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/09/07
IQNA – Akizungumzia heshima ya binadamu, haki, na usalama kama nguzo kuu tatu za umoja wa Kiislamu, mwanazuoni mwandamizi wa Kiirani amesema kuwa Palestina ni alama au nembo ya mshikamano wa kimataifa.
Habari ID: 3481190 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/09/06
IQNA – Mbunge kutoka Iran ameelezea Hija kama fursa muhimu ya kukuza umoja miongoni mwa Waislamu duniani na kuimarisha juhudi za pamoja dhidi ya changamoto za pamoja.
Habari ID: 3480748 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/27
IQNA – Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, amesema kuwa mshikamano wa kweli kati ya mataifa ya Kiislamu utayafanya kuwa na nguvu zaidi mbele ya maadui.
Habari ID: 3480702 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/18
IQNA – Taathira chanya ya Hija katika kuimarisha umoja wa Waislamu sio ya eneo maalum wala ya muda mfupi, amesema mtaalamu na mchunguzi.
Habari ID: 3480663 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/10
IQNA--Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Ali Khamenei, amesema kuwa lengo la Mwenyezi Mungu katika kwa kuweka ibada ya Hija ni kuwasilisha kielelezo kamili na kinachoelekeza namna ya kuendesha maisha ya binadamu, na akaongeza: muundo na sura ya dhahiri ya ibada hii ni ya kisiasa kabisa, huku maudhui yake yakiwa ya kiroho na ya ibada, ili kuhakikisha manufaa kwa wanadamu wote.
Habari ID: 3480637 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/04
Baraza la Idi
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya kislamu, Ayatullah Sayyed Ali Khamenei amesema kuimarika heshima ya Uislamu na kukabiliana na dhulma na uonevu wa madola makubwa vinategemea umoja na utambuzi wa Umma wa Kiislamu.
Habari ID: 3480477 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/31
IQNA-Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, ametoa wito wa kuimarisha zaidi umoja na huruma miongoni mwa mataifa ya Kiislamu. Katika ujumbe wa pongezi kwa wenzake Waislamu kwa mnasaba wa sikukuu ya Idul Fitr, inayoadhimisha baada ya kumalizika mwezi mtukufu wa Ramadhani,
Habari ID: 3480472 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/30
IQNA – Mwanazuoni wa Pakistani ametaja Qur'ani Tukufu kama ufunguo wa kutatua tofauti na kuimarisha umoja kati ya mataifa ya Kiislamu.
Habari ID: 3480249 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/21
Mtazamo
IQNA – Mchambuzi wa kisiasa wa Palestina amesema Shahidi Jenerali Qassem Soleimani aliona kadhia ya Palestina kama suala kuu la ulimwengu wa Kiislamu, ambalo linapaswa kuungwa mkono kwa njia yoyote ile.
Habari ID: 3480000 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/03
Katika barua kwa Kiongozi Muadhamu
IQNA-Wanachuoni 3,000 wa Kisuni wa nchini Iran wamemwandikia barua ya shukrani Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei wakimshukuru na kumpongeza kwa operesheni ya Ahadi ya Kweli II iliyoutia adabu utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3479554 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/07
Muqawama
IQNA - Dada yake Abbas Al-Musawi, mwanzilishi mwenza na katibu mkuu wa zamani wa Hizbullah ya Lebanon, alielezea uungaji mkono wa harakati hiyo kwa Wapalestna wa Gaza ni sawa na kutetea utu wa binadamu.
Habari ID: 3479534 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/04
Umoja wa Kiislamu
IQNA - Mkuu wa Jumuiya ya Wanazuoni wa Kiislamu nchini Lebanon Sheikh Ghazi Hunaina amesema kukabiliana wakufurishaji ni hatua ya lazima kuelekea kupatikana kwa umoja wa Waislamu.
Habari ID: 3479494 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/26
Umoja wa Kiislamu
IQNA – Mwanazuoni mwandamizi wa Lebanon amesema Mtume Muhammad (SAW) ni mfano bora wa kuigwa kwa ajili ya umoja katika Umma wa Kiislamu.
Habari ID: 3479483 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/24
Spika wa Bunge la Iran
IQNA – Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesisitizia haja ya Waislamu kote duniani kuwa na umoja na mshikamano katika suala la Palestina.
Habari ID: 3479437 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/15
Wiki ya Umoja
IQNA- Toleo la 38 la Kongamano la Kimataifa la Umoja wa Kiislamu litaanza katika mji mkuu wa Iran siku ya Alhamisi, wakati wa Wiki ya Kimataifa ya Umoja wa Kiislamu.
Habari ID: 3479435 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/14
Umoja wa Kiislamu
IQNA: Tukio hilo lililopewa jina la "Katika Mapenzi ya Mtume," lilifanyika usiku wa kuamkia Ijumaa katika Uwanja wa Mtume Muhammad (SAW) ulio katika Haram ya Imam Ridha (AS) kuashiria kuanza kwa Wiki ya Umoja wa Kiislamu.
Habari ID: 3479425 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/13
Umoja wa Waislamu
IQNA - Jumuiya ya Waislamu Duniani (WML) imeandaa mkutano unaolenga kukuza maelewano kati ya madhehebu za Kiislamu.
Habari ID: 3478533 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/18